Pages

ALICHOKISEMA WALTER BAADA YA KUWA MILLIONARE.....

Nov 11, 2012
Akiongea na media moja maarufu hapa nchini walter amesema hakuwahi kufikiri kuwa na mafanikio kama haya .ila tu nguvu za mungu zimemmulika,na kuongeza kusema kuwa yupo tayari kukabiriana na miki ya game la bongo.