Pages

MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE(BIG JOHN)AFARIKI DUNIA

Nov 24, 2012

Ikiwa ni baada ya tasnia ya filamu ya bongo(bongo movie) kuondokewa na msanii mlopa sasa leo hii imetokea pigo jingine kwa kuondokewa na msanii BIG JOHN,ambaye kacheza movie ya kikojoz na aunt ezekiel ,pia na filam iitwayo baamed.
msanii huyo kafariki katika hospital ya muhimbili wakati akiwa katika chumba cha upasuaji,mungu ailaze mahali pema peponi