Pages

MAZISHI YALIKUWA HIVI........

Nov 2, 2012
Mnamo saa 8 mchana misa ya kuuaga mwili wa marehem ilifanyika huko nyumbani kwa marehem isamilo.kisha utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ulifanyika ,wanafunzi na watu wengine wengi walijitokeza kwa wingi na kushiriki kikamilifu na baada ya hapo mwili ulisafirishwa mpaka makaburini nyanshana,ambako ndiko mazishi yalipofanyika na hapa ni baadhi ya matukio yalivyokua