Pages

FOLEN YA KUCHUKUA MOJOHO YA GRADUU (UDOM)

Nov 21, 2012
  Baadhi ya wahitimu wa chuo kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye foleni tayari kwa kuchukua majoho yao ambayo watayavaa katika sherehe za kumalizia safari yao ya miaka mitatu ya masomo yao ya Chuo Kikuu Cha Dodoma hapo Jana na leo Foleni ikiwa haisogei kabisa huku wengine wakiendelea kusubiri na wengine kupiga stori mara baada ya kutokuonana takribani miezi minne tokea walipomaliza masomo yao chuoni hapo Wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM kitivo cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha wakiwa kwenye foleni ya kuchukua majoho tayari kwa kuhudhuria sherehe za mahafali ya tatu ya chuo kikuu cha Dodoma Hapo mwenye nguvu...