Pages

50 CENT HOSPITALINI

May 17, 2012



Rapper 50 Cent mwenye umri sawa na Afande Sele (Miaka 36) amelazwa hospitali huko Marekani ambapo mshkaji wake wa karibu Dj Drama amesema jamaa anasumbuliwa na tumbo “stomach virus na sio ishu kubwa sana, bado mipango mingine iko palepale ikiwemo tarehe atakayoiachia mixtape yake mpya ya “The Lost Tape” MaY