Pages

TUNAOMBA RADHI KUTOKANA NA HABARI TULIYOITOA MCHANA HUU

May 14, 2012


Leo hii saa saba mchana tulichapisha habari ambayo iligusa moja kwa moja uhuru wa Bi lissa na hivyo kuibua hisia mbalimbali .hivyo basi tunaomba radhi kwa Bi lisaa pamoja na ndugu na jamaa kwani hatukuwa na nia mbaya naye.