Pages

ANGALIZO

May 14, 2012
Tutatoa taarifa zozote kuhusu kitu chochote au mtu yeyote kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano wa TANZANIA ,hivyo basi hatutaogopa vitisho vyovyote kutoka kwa mtu yeyote maadam kitu kakifanya na sisi tuatenda naye sambamba.kauli hii imetolewa baadaya ya baadhi ya watu wachache kutaka wasiandikwe katika blog hii nasi tunasema ikitokea kuna kitu chochote kimefanywa hatutasita kukiandika .
libeneke lisonge mbeleee wasalaaaaaammm