Pages

NDOMBANDOLA AIBUKA MSHINDI KATIKA KUWANIA KITI CHA URAISI WA CHUO KIKUU BUGANDO

May 9, 2012

Hatimaye yale yaliyokuwa yakisubiriwa kwa hamu kuhusu ni nani mgombea wa chuo kikuu cha bugando swali hilo limejibiwa na wanadarasa la MD2 katika uchaguzi uliofanyika leo tarehe 09 /05/2012 kuwa NDOMBANDOLA NDIYE MGOMBEA URAISI kutoka MD2





wadau wakiskiliza sera






                         edrick naye bila kukosa katika upinzani
            kulia ni MOSES na kushoto ni NDOMBANDOLA
                  KISIGO AKIULIZA SWALI
   


NA HAPA NI PALE AMBAPO MSHINDI ALIKUWA AKITANGAZWA SKILIZA AU DOWNLOAD






BAADA YA HAPO NIMEFANYA EXCLUSIVE INTERVIEW NA NDOBANDOLA BAADA YA KUTANGAZWA KUWA NI MSHINDI NA AMENIAMBIA HAYA HAPA CHINI