Pages

MAREKANI KUSITISHA MSAADA PAKISTANI

May 26, 2012
Dr Shakil Afridi
      huyu ndiye tabibu aliyefungwa miaka 33 huko pakistani


Kutokana na nchi ya pakistani kumhukumu tabibu mmoja aliyesaidia kupatikana na kuuawa kwa osama bin laden nchi ya marekani imeamua kusitisha dola million moja kila mwaka hivyo kutokana na tabibu huyo kufungwa miaka 33 itaikosesha pakistani dola million 33 kwa miaka hiyo ambayo jamaa huyo atakuwa gerezani.inasemekana tabibu huyo alianzisha chanjo bandia ambayo ilisaidia kwa kiwang kikubwa CIA kumuua OSAMA