Pages

LINNA AKIFANYA VIZURI MAREKANI

May 15, 2012
Msanii maarufu  bongo amepata mwaliko wa kufanya show mbalimbali katika nchi ya marekani kwa muda wa miezi minne na hii imefanywa kutokana na linna kualikwa na mbunge leticia nyerere
na hapa ni baadhi ya maeneo ambayo linna anaendelea kujivinjari