Pages

MAANDALIZ YA REDDS MISS KURASINI YANENDELEA KWA KASI

May 22, 2012

Baadhi ya warembo wanaoshiriki Shindano la Redds Miss Kurasini 2012 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa Equator Grill, Jijini Dar es Salaam jana. Shindano la Miss Kurasini linataraji kufanyika Mei 25, 2012 katika ukumbi huo huo ambapo jumla ya warembo 16 watapanda jukwaani kuwania taji hilo.