Pages

Charles Taylor asukumwa jela miaka 50

May 30, 2012







Rais wa zamani nchini Liberia Charles Taylor amehukumiwa miaka 50m jela na makahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Mwezi jana Taylor alipatikana na makosa ya kuwaunga mkono waasi nchini Sierra Leone katika vita vya wenyewe kwa wenyewe