Pages

ROSE NDAUKA AZUNGUMZIA STORI ZA YEYE KUIGIZA NA MDOGO WAKE KANUMBA

May 15, 2012
Baada ya stori kusambaa kwamba Mwigizaji Rose Ndauka ameamua kuigiza na mdogo wa Kanumba kwenye movie kadhaa kama kumuenzi marehemu, Rose amekubali kuizungumzia hiyo ishu Amesema hakuna mpango kama huo na hajazungumza hilo jambo na mtu yeyote japo haimaanishi kwamba hakuna uwezekano wa kucheza movie pamoja na siku za baadae kama wakitaka hivyo.Hata hivyo amesema anafahamu kwamba kuna mtu ambae anaigiza na anafanana na Kanumba lakini anamjua mdogo wake Kanumba mmoja tu ambae ni Seth aliekua akiishi na Kanumba .
enzi hizoooooo