Pages

MAMA EDOO AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI

May 28, 2012
Mama edo amefiwa na baba yake  mzazi ambapo marehemu ameacha wajane wanne ,watoto 20 na wajukuu lukuki

kamera yetu iliweza kupenyeza had wakati mama akisubiri muda ufike wa kwenda ukerewe mazishini


 na hawa ni baadhi ya watoto wa mama edy 
hawa ni waju

                            wakati huo tukisubiri muda wa meli kuondoa nanga tayari kuelekea nansio ukerewe




                             jeneza lenye mwili wa marehemu