Pages

TERRENCE J NA ROCSI WANAACHA KUTANGAZA 106 PARK

May 17, 2012
Add caption

Kama wewe ni mtazamaji wa BET najua Terrence na Rocsi sio watu wapya kwako, ni watangazaji wa hot show  ya 106 & Park ambayo imekua ikifanya mahojiano na mastaa kibao  Stori mpya ni kwamba hawa washkaji wanaacha kazi ya utangazaji BET baada ya mikataba yao kwisha huku wakitajwa kutaka kujiingiza kwenye uigizaji moja kwa moja, hasa Terrence ambae tayari ameshauza sura na uwezo kwenye movie mbili kubwa  Watangazaji wa kwanza wa show ya 106 & Park walikua A. J. Calloway and WPGC’s own, Marie “Free” Wright kuanzia 2000 until 2005, kutoka 2005-2006 Julissa Bermudez and former WPGC radio personality Big Tigger walihost show,   in 2006 Rocsi, former afternoon radio host of Power 92.3 in Chicago na Terrence J walishinda BET’s New Faces Contest na ndio wakawa watangazaji wa 106  BET ambayo kwa sasa inaripotiwa kuwa chini ya kampuni inayomiliki television kubwa kama MTV na MTV BASE pia inampango wa kubadilisha show zake, ikiwa ni pamoja na kuziondoa baadhi ya showz