Pages

LINEX AKUBALI SINGLE YAKE NA DIAMOND HAIJAFANYA VIZURI

May 15, 2012
Staa wa single
ambazo zimeingia kwenye rekodi nzuri ya Bongo fleva, mwimbaji Linex amekubali kwamba single yake aliyoifanya na Diamond haijapata mapokezi mazuri
Amesema ;mapokezi ya hiyo single yalikua poa lakini hayakua poa kivile kwa sababu kumbuka kwamba nilihama kwenye muziki, ule haukua muziki wangu, ile ilikua kwaito na watu wamenizoea kwenye muziki wangu kwa sababu wanajua Linex anafanya muziki wa hisia, nadhani hiyo ni moja ya sababu

wimbo wenyewe huu hapa