Pages

BUGANDO BLOG TUNAOMBA RADHI KWA WANA BUGANDO

May 24, 2012
Sisi kama wanablogger wa BUGANDO BLOG tunaomba radhi kwa wanabugando wote kutokana na taarifa ambazo zilikuwa zikichapishwa na mtandao huu wa kijamii kuhusiana na watu binafsi.tunakiri makosa na kusema kuwa katika kila kazi yeyote kuteleza hutokea na hivyo,tunaahidi taarifa binafsi zihusuzo mtu binafsi hazitapata nafasi katika blog hii,hivyo kwa yeyote ambaye labda kwa namna moja au nyingine tulikwazana tunaomba tusameheane na tunawahidi vitu vizuri na vingi,kwa niaba ya Blog administrator nitoe shukrani zangu zote kwa wadau waliotupigia sim na kutoa maoni yao pia watu bmbalimbali kwa muda wao waliojitahidi kutoa ushauri wao moja kwa moja pindi tulipoonana nao.tuendeleze libeneke  wadau