Pages

RIHANNA ASHEREKEA UBINGWA WA CHELSEA NA DROGBA

May 23, 2012




Rihanna na Drogba.
Staa Rihanna alienjoy usiku wa juzi na wachezaji wa club ya soka ya Chelsea waliokua wanasherehekea ushindi wa kombe la Champions League ambapo alionekana akiwa sana karibu na mchezaji Didier Drogba ambapo baada ya kuipiga hiyo picha hapo juu, Rihanna alitweet “Guess who?” and then “THEE DIDIER DROGBA #thereisaGod”
Hiyo party ilimfanya Rihanna kuachwa na ndege.
Rihanna akiwa anaingia club Boujis U.K ambako ndiko ilipofanyika hiyo party.