Pages

CHIEF MUJUNI NDANI YA CUHAS -BUGANDO

May 17, 2012

Ikiwa  ni kawaida ya ule usemi wa kula matunda uliyoyapanda sasa CUHAS -BUGANDO imeendelea kula matunda na zamu hii inakuletea chief mwingine kwa wale wanao fanya rotation katika kitengo cha OPS &GYN sasa watakuwa na MUJUNI kama chief wao,nimeongea na chief huyo na kuamplfy kuwa kwa sasa yuko hapa  BUGANDO.in short chief ni miongoni mwa BUGANDO PRODUCT