Pages

KTMA WINNERS TOUR - MTWARA

May 25, 2012
Washindi wa Kili Music Award jana walianza safari ya Mtwara na walifika salama kabisa majira ya usiku na kupata mapumziko mazuri, ingawa gari lilikuwa na wasanii wachache huku wengine wakija leo ijumaa na ndege. Show siku ya kesho jumamosi
Kuanzia saa kumi jion katika umoja stadium kitakuwa kinanuka huko mtwara kiingilio buku mbili tu ukijipatika maji ya mende mlangoni hahahahahahah enjoyyy pipozzzzzzzzz