Pages

Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Ruvuma zaendelea

May 29, 2012

Afisa Tawala wa Wilaya ya Nyasa,Hapiness Msanga (kushoto) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma,Idd Mponda kwa ajili ya kukimbizwa katika wilaya hiyo

Wakimbiza mwenge wa uhuru wakicheza baada ya kumaliza mbio za mwenge katika Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma katika viwanja vya michezo vya Mbambabay.kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga,Idd mponda.Picha na Muhidin Amri