Pages

BUGANDO BLOG SASA KUBADILI JINA LAKE

May 22, 2012
                                      TANGAZO


KUANZIA TAREHE 1 JUNE BLOG YETU HII AMBAPO HIVI SASA INASOMEKA KAMA www.bugando2.blogspot.com ITABADILI JINA NA KUITWA bongo100.blogspot.com
TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA







   BAADA YA KUTOKA BUGANDO KIKAZI   

MZEE SMALL YU HOI HOSPITALI YA AMANA



 Taarifa zilizotufikia juu ya dawati letu zinasema mwigizaji nguli na waanzilishi wa sanaa za maigizo nchini tanzania Mzee Small ni mgonjwa sana na amelazwa hopitali ya Amana iliyopo Ilala. na hali yake ya kiafya hii tete sana hivyo twaombwa tendeni tukamfariji mzee huyu...Ni baada ya kufanya showyake katika chuo kikuu bugando kisha kurudi dar ndipo timbwili lilipoanzia