Pages

SPRITE YADHAMINI KLINIKI YA KIKAPU JIJINI DAR

May 29, 2012

Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu na anyechezea ligi ya NBA ya Marekani , Hasheem Thabeet akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu kliniki ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Sprite itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi 2012.




Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) Michael Maluwe akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani)kuhusu ya kliniki ya vijanai chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi mwaka huu. Kliniki hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji cha Sprite. Katikati ni mchezaji wa Ligi maarufu duniani ya NBA Hasheem Thabeet na kulia ni Meneja Bidhaa Msaidizi wa Coca-Cola Tanzania Warda Kimaro