Pages

FACEBOOK YAPELEKEA KUPOTEA KWA MWANAFUNZI WA SAUT

May 29, 2012

Hivi punde zimetufikia habari kuwa FACEBOOK imepelekea mrembo mmoja wa anayesoma kozi ya ualimu SAUT kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
stori iko hivi

kwa jinsi ilivyo ni kwamba dem huyo alikuwa na urafiki na mshikaji mmoja wa hivi wa kenya then wakaanzisha mahusiano ambapo ikabidi sasa mshikaji ajet MWANZA ili waonane na huyo dem .dem akaelekezwa na mshikaji wakutane hotel moja maarufu mjini hapa mwanza.baada ya hapo 
wakakubaliana wadate usiku huo mara mshikaji kuchojoa dem akaona kama mchiz ameoza kinyama ,dem akataka akimbie mshikaji akamwambia atamshoot mara dem akafanikiwa kuponyoka na kurudi hostel alipofika hostel akamsimulia room mate wake mara muda si mrefu naye dem akaanza kuoza ndipo ikabidi wampandishe mwisho wa nyodo BUGANDO HOSPITALwakati wanamkimbiza kuja hospitali katika tax yenye namba T 445 BBA   Dem huyo alipotelea kimazingara na kuwaacha wenzake mdomo wazi hadi hivi sasa dem huyo bado hajapatikana stori zaidi tutakuletea yapi yanaendelea






michakato na ku