![]() |
Blog yetu inapenda kumtakia hapy birhday mdau hassan kwa kutimiza miaka kadhaa hapa katika sayari ya tatu tunamtakia maisha marefu na yenye baraka tele
Pia tunachukua fursa hii kumtakia happy birthday first born wa issack (picha ipo chini hapa MD5) ambaye naye kafikisha miaka kadhaa tunamtakia maisha marefu yere baraka tele
father of the son (issack) |
