Pages

SABABU ZA SHOW YA LADY GAGA KUKATALIWA INDONESIA

May 16, 2012





Polisi nchini Indonesia wamethibitisha kuzuia show ya Lady gaga iliyotarajiwa kufanyika tarehe tatu june mwaka huu kutokana na walichotaja kama kutotii mila na desturi za kiislamu kwenye taifa hilo lenye idadi kubwa ya waislamu Chama cha kutetea uislamu kimesema  mwimbaji huyo ambae huwa anaonekana hadharani kavaa nguo za ndani peke yake ni nabii wa shetani hivyo hawawezi kumruhusu kueneza injili ya kishetani nchini humo.Zaidi ya ticket elfu 30 zimeuzwa kati ya elfu 40 zilizokua zimetengwa kwa ajili ya show hiyo, limeripoti gazeti la Jakarta Post.