Pages

c-sir na pini yake mpya

May 24, 2012
Add caption
Nashukuru sana kwa support mnayoendelea kutupatia Tetemesha Records. Plz pokea kazi mpya ya C-sir Madini. Baada ya Nishike Mkono tuliyoitoa January mwaka huu na video yake kutoka April 2012, hii ndio new release ambayo tunaitoa rasmi leo April 24 wimbo unaitwa BOGA NA UA LAKE.

Ni wimbo wenye ujumbe wa moja kwa moja kama ukiuskiliza kwa makini utauelewa. Unahusiana na Kumpenda mtu kama alivyo na mapungufu yake yote. 

Katika wimbo huu C-sir ameimba amempenda binti lakini baadae kaja kugundua kuwa binti ni muathirika wa gonjwa la ukimwi, lakini hiyo haikuwa sababu ya yeye kumuacha na akaendelea kusisitiza pamoja na yote hayo hatamuacha. (Sio story ya kweli ni utunzi tu kuwakilisha yaliyoko mtaani)