Pages

>LIL WYNE ASHINDWA KUJIZUIA KUHUSU TRINA MBELE YA UMATI

May 17, 2012
Ni miaka mitano toka uhusiano wa kimapenzi wa Lil Wyne na Trina ufe, lakini kwenye party ya mwimbaji Monica at Club Liv huko Miami Marekani weekend iliyopita, Lil Wayne alichukua mic na kuonyesha upendo wake kwa Trina. Kwa mujibu wa gossiponthis, alipokua kwenye stage na Mchekeshaji Kevin Hart mbele ya umati, Weezy alimwambia mpenzi wake wa zamani (Trina) kwamba amemmis,  ambapo alisema nataka kusema kama Trina yuko hapa, Nakupenda na nimekumis baada ya hapo kila mtu akawa na swali lililokosa jibu